*FAHAMU KUHUSU UHUSIANO KATI YA VIDONDA VYA TUMBO NA NGUVU ZA KIUME*
Wanaume wengi wanaougua vidonda vya tumbo kwa muda mrefu hutokewa pia kuwa na tatizo la upungufu wa nguvu za kiume. Kwahiyo ikiwa mwanaume una tatizo la kushindwa kuhimili tendo la ndoa na unaumwa vidonda vya tumbo, basi cha kwanza utatakiwa ujitibu vidonda vya tumbo.
Hili linakuwa kweli hasa tukiziangalia baadhi ya dalili za vidonda vya tumbo kama zifuatazo;
1. Kuchoka choka sana bila sababu maalum
2. Kuumwa mgongo au kiuno
3. Kizunguzungu
4. Kukosa usingizi
5. Kiungulia
6. Tumbo kujaa gesi
7. Tumbo kuwaka moto
8. Maumivu makali sehemu kilipo kidonda
9. Kukosa choo au kupata choo kwa shida tena kikiwa kigumu na chenye kukatika kama cha mbuzi
10. Kusahahu sahau na Hasira bila sababu.
Dkt. Emmanuel Tz
0767 595 644